Kimanobo-Obo

Kimanobo-Obo ni lugha ya Kiaustronesia nchini Ufilipino inayozungumzwa na Wamanobo. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kimanobo-Obo imehesabiwa kuwa watu 60,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimanobo-Obo iko katika kundi la Kifilipino.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search